KATIKA JAMUHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA
KATIKA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA ILALA
LILILOPO JENGO LA MWALIMU
MAOMBI MADOGO NAMBA ____ YA MWAKA 2022
(Yanayotokana na maombi namba ......... ya mwaka 2022)
BAINA YA
XXX.............................................. MLETA MAOMBI
DHIDI
YYY ..............................MJIBU MAOMBI
MAOMBI YA FARAGHA
(Yanafanywa chini ya kifungu cha 14 cha sheria ya Ukomo wa muda sura ya 89 iliyofanyiwa mapitio mwaka 2019, na sheria nyingine yoyote itakayohusika)
PANDE ZOTE WANAOHUSIKA WAFIIKE, mbele ya Mheshimiwa..................Mwenyekiti wa Baraza katika chumba cha Mwenyekiti tarehe ......... mwezi wa ...... mwaka 2022, au katika muda utakaoamriwa, ambapo mwombaji atasikilizwa maombi yake kwa kupatiwa amri zifuatazo: -
1. Kwamba mahakama itoe ruhusa kwa mleta maombi kuongezewa muda ili afanye maombi ya kutengua hukumu ya upande mmoja iliyotolewa katika maombi namba....... la mwaka 2022.
2. Mahakama itoe nafuu nyingine yoyote kwa kwa kadiri itakavyo ona ni haki kutoa.
Maombi haya yanafanywa na kwa sambamba sababu vigezo na sababu zilivotajwa katika kiapo cha mleta maombi XXX ambacho kimeambatanishwa katika maombi haya na sababu za ziada zitatolewa na mleta maombi wakati wa kusikilizwa maombi haya.
...........................................
MWENYEKITI
Yameletwa kusajilwa leo hii ...................... Siku ya mwezi wa ...................mwaka 2022.
...........................................
KARANI WA BARAZA
YAMEANDALIWA NA
XXX, MLETA MAOMBI,
S.L.P.
DAR ES SALAAM,
TANZANIA
NAKALA APATIWE
YYY, MJIBU MAOMBI